Khalwale, Osman, Wangari Watimuliwa

Chama cha UDF kimewafurusha maseneta Dkt Bonny Khalwale na Martha Wangari, na pia mbunge mteule Hassan Osman, kwa madai ya kukiuka maadili na sheria za chama hicho. Katika kongamano la wajumbe lililoongozwa na Musalia Mudavadi, chama cha UDF kitabadili jina na kuitwa Amani National Congress (ANC). Lakini Khalwale, Wangari na Osman wamepuuzilia mbali msimamo wa kupigwa kalamu, na kudai walioandaa kikao cha leo sio maafisa wa chama.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories