

afrika kusini kwa matibabu maalum, baada ya kukimbizwa hospitalini jana usiku alipougua kwa dharura.
Mzee kibaki ameandamana na jamaa zake wa karibu, akiwemo mwanawe judy wanjiku, baada ya kulazwa katika hospitali ya karen.
Rais uhuru kenyatta alimtembelea mtangulizi wake hospitalini, hata ingawa taarifa za ugonjwa wake zinasalia finyu.
Video Of The Day: | TALES OF LAMU | Island grappling with an acute shortage of fresh water