Kidero asema yuko tayari kupambana na Sonko

Siku moja baada ya Seneta wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko kumuarifisha mwanabiashara mashuhuri, Polycarp Igathe kama mgombea mwenza wake kwenye kinyang’anyoro cha ugavana wa kaunti ya Nairobi, Gavana wa sasa Evans Kidero amepuuzilia mbali timu hiyo akiitaja kuwa mradi ambao utafeli wakati wa uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu.

Tags:

Mike Sonko Nairobi EVANS KIDERO Polycarp Igathe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories