Kidimbwi mfano wa ramani ya Afrika chavutia wengi eneo la Tiwi


Mtazamaji, Katika Kaunti Ya Kwale Kuna Kidimbwi Cha Kipekee ufuoni mwa Bahari ya Hindi Kilichojichora Umbo Mfano Wa Ramani Ya Bara La Afrika Katika Eneo La Tiwi Kule Vinani. Na Kama Anavyotueleza Mwanahabari Wetu Wa Kwale Nicky Gitonga Wakazi Katika Eneo Hilo Wanakienzi Sana Kidimbwi Hicho kwa sababu zifuatazo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Nicky Gitonga
More by this author