Kifo cha Gavana Wahome Gakuru

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameliongoza taifa kuomboleza kifo cha gavana wa Nyeri Wahome Gakuru.
Viongozi hao wamesema kifo chake sio pigo tu kwa kaunti ya Nyeri bali kwa taifa zima. Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, tofauti za kisiasa ziliwekwa kando katika hifadhi ya maiti ya lee viongozi wakimkukumba gavana huyo.

Tags:

Wahome Gakuru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories