Kifo cha Nkaissery


Waliokuwa wakinufaika na misaada yake waachwa njia-panda

Wasema hawana matumaini ya kufanikiwa tena maishani

Wengi ni wanafunzi waliokuwa wakipata karo kutoka kwa Meja

Misa maalumu ya wafu ikifanyika nyumbani kwake Nairobi

Mawaziri wenzake wamtaja kama mchapakazi shupavu

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

citizen
Story By Citizen
More by this author