Kiini cha mauji ya mwanafunzi William bado hakijabainika

Hapo jana  nipashe ilimulika kisa cha mwanafunzi wa kidato cha nne ambaye maiti yake ilipatikana katika shimo la choo katika shule ya upili ya Kakuku kaunti ya Machakos.  Katika juhudi za kutaka kupata taswira kamili ya yaliyojiri jumapili hiyo kabla kupotea kwa william, mwanahabari wetu Asasha Elizabeth ametuandalia taarifa hii.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories