Kijana amuuwa mpenziwe Kahawa-Wendani

Msichana mmoja  kutoka mtaa wa kahawa wendani ameuwawa kwa njia ya kutatanisha baada ya madai ya mpenzi wake ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta kusemekana kumtoa uhai.

 

Kijana huyo ambaye kwa sasa amezuiwa katika kituo cha polisi mjini malindi anachunguzwa ili kubaini iwapo anahusika kwa njia yoyote katika mauaji hayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories