Kijana atoweka Kiambu Anaswa akivuka mpaka kwenda Somalia


Familia moja katika kaunti ya kiambu inaishi kwa hofu baaada ya mwana wao kudaiwa kujuinga na kundi la kigaidi la al shaabab…inaripotiwa kuwa simon mungai ambaye ndio mtoto wa pekee wa familia hiyo alijiunga na kundi hilo baada ya kumaliza kidato cha nne katika shule ya upili ya kahuho.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: CAS Rachel Shebesh and athlete Asbel Kiprop share their mental health journeys

Avatar
Story By Citizen
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *