Kijiji hakina mawimbi ya simu Turkana


Eneo la mpaka wa nchi nne ambazo ni Kenya, Uganda, Sudan Kusini na Ethiopia taswira ya maendeleo ni ya kusikitisha. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Cheboit Emmanuel, licha ya kuwa katika karne ya ishirini na moja wakaazi wa Oropoi na Nawontos bado wanataembea kilomita sita hadi saba kila siku kutafuta mawimbi thabiti ya kupiga simu.

 

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Emmanuel Cheboit
More by this author