Kilimo cha unyunyuziaji maji kaunti ya Pokot Magharibi


Kwa kipindi kirefu wakazi wa kaunti Pokot Magharibi wamekuwa wakitegemea chakula cha msaada kutokana na eneo hili kukabiliwa na hali ya kiangazi na ukosefu wa udongo wenye rutuba. Na kama anavyoarifu collins Shitiabayi huenda hali hii ikazikwa katika kaburi la sahau baada ya wakazi kugundua kuwa sehemu moja yenye maporomoko ya maji ina uwezo wa kusambaza maji katika eneo la kilomita 200 mraba.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author