Kilio uteuzi wa Jubilee

Chama cha jubilee kimefunga mlango wa uwasilishwaji wa malalamishi yanayofungamana na Jshughuli ya uchaguzi wa mchujo uliokamilika hivi majuzi.

Kufikia sasa bodi ya malalamishi imepokea kesi mia tano kutoka maeneo mbali mbali, huku ikiweza kufanya maamuzi ya kesi mia moja na saba.

Pamoja na zilizoamuliwa ni ile ya eneobunge la ainabkoi kutakakofanyika uchaguzi tena katika kituo kimoja kilichokumbwa na utata.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories