Kinara Wa CORD Amfanyia Kampeni Kajwang
Published on: February 06, 2015 03:26 (EAT)
Kinyang’anyiro cha useneta kaunti ya Homabay kinazidi kupamba moto, wiki moja tu kabla ya wapiga kura waliosajiliwa elfu 331,698 katika maeneo bunge 7 kuamua ni nani atakayejaza pengo lilioachwa na mwendazake Otieno Kajwang…..
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment