Kinara wa CORD Raila Odinga azuru Kwale, ashawishi wakazi kupigia kura muungano wa CORD

Kiongozi wa mrengo wa upinzani Raila Odinga amekemea hatua ya serikali ya jubilee kupeana hati miliki eneo la pwani akidai si suluhisho la kudumu kwa matatizo ya ardhi eneo hilo. Odinga aliyekuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la kwale aliitaka serikali kutekelezwa kwa ripoti ya tume ya uwino TJRC. Hapo kesho Odinga anatarajiwa kuhutubia mkutano wa mawakili eneo la kwale kando na kukutana na wa wazee wa kwale hapo baadaye katika ziara yake ya siku tatu eneo la pwani.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories