Kinara wa NASA akosa kuwazungumzia wafuasi wake

Shinikizo zazidi kutolewa kwa kiongozi wa muungano wa nasa raila odinga kukubali matokeo ya uchaguzi au kuwasilisha malalamishi yake mahakamani. Kinyume na matarajio ya wengi kuwa Odinga angetoa mwelekeo wake leo, vinara wakuu w amuungano huo wamekuwa kwenye mkutano wakutathmini hali siku nzima na kutangaza kuhairishwa kwa hotuba yake hadi hapo kesho.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories