Kinara wa ODM Raila Odinga afanya mkutano Kisumu

Mashindano ndani ya muungano wa CORD kuhusu mgombea urais yanazidi kutokota huku kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka akiwataka Raila Odinga na Moses Wetangula kujitoa na kumuunga yeye mokono. Kalonzo anasema kuwa amewaunga mkono vya kutosha viongozi wengine kuwa rais na sasa ni zamu yake. Haya yakijiri Odinga akisistiza umoja wa CORD wakati ambapo wabunge wa ODM wanamsukuma kumtawaza gavana wa Mombasa Hassan Joho kuwa mgombea mwenza wake.

Tags:

CORD WIPER raila odinga odm kalonzo musyoka Ali Hassan Joho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories