Kinara wa Wiper afanya kampeni Kwale

Kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka hivi leo amezuru Ukunda, kaunti ya Mombasa kuendelezea kampeini zake.
Kalonzo amedokeza kwamba bado yuko katika muungano wa NASA na kuwataka wakazi wa kwale kujitokeza kwa wingi kuupigia kura muungano wa nasa katika uchaguzi mkuu ujao.

Tags:

WIPER kalonzo musyoka NASA Ukunda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories