Kinuthia Mbugua ateuliwa kusimamia masuala ya Ikulu

Rais uhuru Kenyatta amefanya marekebisho katika idara ya utumishi wa umma sawa na ile ya polisi. Katika marekebisho hayo Joseph Kinyua amesalia kuwa mkuu wa utumishi wa umma huku Wanyama Musiambu kufanyika mdogo wake.

Tags:

Joseph Kinyua kinuthia mbugua head of public service Statehouse comptroller Wanyama Musiambu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories