Kinyang’anyiro cha Nairobi chapanuka

Mwanasiasa Peter Kenneth, hii leo ametangaza rasmi kuwa atawania kiti cha ugavana Kaunti ya Nairobi. Uamuzi huu sasa umeanzisha rasmi joto la siasa kwa wale wanaotaka kugombea kiti hiki kutoka kwa mirengo ya chama tawala na upinzani. Denis Otieno ana maelezo zaidi. Mazungumzo wakiwa wamerejea kazini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories