Kinyanganyiro cha ugavana Nairobi chapamba moto

Wababe watatu wanaong’ang’ania kiti cha ugavana kaunti ya Nairobi hii leo wameendeleza kampeni zao sehemu tofauti huku wakiwarai wakazi kuwapigia kura katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Naibu Rais ameburuzwa kwenye kampeni za wagombea hao akitakiwa kujiweka kando na masuala ya Nairobi.

Tags:

Mike Sonko Nairobi EVANS KIDERO PETER KENNETH

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories