

Kinara wa Odm Raila Odinga amekamilisha ziara yake katika kaunti ya taita taveta,ambapo aliwarai wapiga kura katika kaunti hiyo kujiandikasha kwa wingi kama wapiga kura, ili kuibandua serikali ya jubilee kutojka mamlakani. Raila ambaye alizuru maeneo ya voi, kasigau na bughuta, alikosoa serikali ya jubilee kwa kukosa kutimiza ahadi walizozitoa katika uchaguzi wa mwaka wa 2013. Stephen letoo na taarifa hiyo.
Video Of The Day: | TALES OF LAMU | Island grappling with an acute shortage of fresh water