Kipande cha ekari 134, chazozaniwa Karen

Wamiliki wa shamba lenye utata la ekari 134 eneo la kifahari la Karen hii leo wameonekana kukiuka agizo la mahakama kuu zaidi ya masaa 48 baada ya agizo hilo kutolewa. Wakati huo huo, tetesi zimeibuka kuwa baadhi ya wanakamati wa ardhi bungeni ni baadhi ya wale waliojishindia vipande vya shamba eneo hilo ambalo kampuni ya muchanga inadai umiliki. Viongozi wa CORD wamesema kuwa watayataja majina ya viongozi wakuu serikalini waliohusika na sakata hiyo hapo Alhamisi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories