Kipindupindu kakuma

Kumezuka na hali ya wasiwasi katika kaunti ya Turkana baada ya visa vya mkurupuko wa kipindupindu kuripotiwa eneo hilo. Takribani wakimbizi 25 katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma ilioko kaunti ndogo ya Turkana Magharibi wamelazwa kwa hofu ya kipindupindu huku maafisa wa afya wakiwadadisi uwezekano wa kuwa na ugonjwa huo kila anayeingia Kenya kutoka Sudan ya Kusini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories