Kiprono Alimuua Mkewe Baada Ya Ugomvi

Stephen Kiprono Tonui alishtakiwa na kuwekwa rumande kwa miezi 10 kwa kumpiga na kumuuwa mkewe Edna Chepkemoi akidai kutokusudia baada ya mzozo wa kimapenzi na mkewe mwaka wa 2012 katika kijiji cha Kabitungu kaunti ya Kericho lakini badala ya kifungo cha maisha kesi yake ilitupiliwa mbali na akawa huru baada ya mahakama kuu ya Kericho kuzingatia umri na ulezi wa wana wake wadogo watatu. Mwanahabari wetu Pheona Kengah alizuru kijiji cha Kabitungu kaunti ya Kericho na kutuandalia taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories