Kirima-ini, Kahuho, na Mwania-Mbogo hawana njia

Wakazi wa vijiji vitatu katika kaunti ya Murang’a wanahangaika kwa kukosa njia ya kupitia. Kulingana nao, barabara waliyokuwa wakipitia ilifungwa na kampuni moja eneo hilo. Nasteha Mohamed anatueleza masaibu wanayopitia wanavijiji hao wakati wa dharura.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories