Kitumbua cha Joho mchangani

Huenda Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho akakosa kuwepo debeni katika kinyanganyiro cha gavana katika uchaguzi mkuu wa agosti mwaka huu.

 

Hii ni baada ya nipashe wikendi kubaini uhalisi wa barua kutoka kwa baraza la mitihani nchini (KNEC) iliyoandikiwa kitengo cha upelelezi (DCI) baada ya kitengo hicho kuomba uchunguzi wa iwapo gavana joho alifanya mtihani wa kidato cha nne KCSE katika shule ya upili ya serani kama anavyodai.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories