Kituo cha kuwahudumia mateja chafunguliwa Kwale


Kituo Cha kutoa Dawa ya aina Methadone Kwa waraibu wa Dawa za kulevya kimefunguliwa Hii leo katika eneo la Kombani Kule Matuga kaunti ya Kwale. Kituo hicho kitahudumia zaidi ya vijana 4500 ambao wameathirika na mihadarati kaunti ya kwale.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Nicky Gitonga
More by this author