Kituo cha polisi chashambuliwa Ijara na kuchomwa


Magaidi wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi haramu la Al Shabaab wametekeleza shambulizi la kigaidi katika kituo cha polisi cha Ijara kinachopatikana katika kaunti ya Garissa. Shambulizi hilo la usiku wa kuamkia leo lilifanyika majira ya saa saba usiku ambapo makachinja hao walifaulu kutoroka na gari la polisi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEMRI scientists examine safety of anti-malarial drugs in first trimester of pregnancy

Avatar
Story By Makori Ongechi
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *