Kivumbi cha Nairobi


Kwa muda wa mwezi mmoja uliopita wanasiasa kaitka kaunti ya Nairobi wamekuwa wakizunguka huku na kule kuhamasisha  wapigakura na hata kuwahamishia wengine katika maeneo bunge yao kaitka shughuli ya usajili wa wapigakura. Kufikia sasa zaidi ya wapigakura laki mbili wamehamisha vituo vyao vya kupigia kura baadhi ya wanasiasa kutoka jubilee na kambi ya upinzani wakijigamba kuwa watawashinda wapinzani wao katika uchaguzi mkuu ujao katika vinyanganyiro vya ubunge na ugavana.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Odinga maintains Jubilee stole his 2017 victory

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author