Kivumbi cha siasa

Malumbano ya kisiasa yanazidi kuchacha huku rais uhuru kenyatta akiwarai wenyeji wa ukambani kuiunga mkono jubilee na kuachana na siasa za mashindano. Haya ni huku viongozi w aupinzani wakiendelea kupika chungu cha nasa wakitizamia kuungana ili kutwaa uongozi mwaka ujao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories