Kiwango cha maji chazidi kupungua Ndakaini

Huku dunia mzima ikitenga siku hii ya tarehe 22 mwezi machi kuwa siku ya maji ulimwenguni, wakenya hawana lolote ya kuadhimisha. Inaarifiwa kuwa viwango vya maji katika bwawa la ndakaini vilivyokuwa lita bilioni 32 vimeshuka hadi lita bilioni 19 kumaanisha kwamba  mgao wa maji huenda ukaendelea kwa muda mrefu huku viwango hivyo vikisubiriwa kuongezeka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories