Kiza cha jana kilisababishwa na hitilafu vituoni vya umeme Thika na Dandora

Ukosefu wa nguvu za umeme hapo jana ulisababishwa na hitilafu ya mitambo ya umeme katika stesheni ya Thika na ile ya Dandora. Hii kauli ya waziri wa kawi Charles Keter aliyekuwa akifananua tatizo lililothiri sehemu nyingi humu nchini. Mbali na hayo kamati ya bunge inaitaka wizara ya kawi kuwajibika katika sakata ya kuongeza bili za stima kwa wateja.

Tags:

KENYA POWER Dandora power station power blackout

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories