Kizaazaa Cha Feri

Kizaazaa Cha Feri

Watu 3 wamejeruhiwa  mapema hii leo baada ya msukumano wa watu kutokea katika kivuko cha feri ya Likoni mjini Mombasa. Tatizo hili linajiri siku chache baada ya shirika la feri kusalia na feri 2 baada ya feri 3 zinazoendesha oparesheni zake katika kivuko hicho kukabiliwa na matatizo ya kiufundi. Mwanahabari wetu Pheona Kengah na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories