Kizaazaa kwenye kamati ya Afya bungeni

Kizaa zaa kilizuka katika kikao cha kamati ya bunge kuhusu afya pale ambapo wanachama walionyesha peupe kutoridhishwa kwao na utendakazi wa mwenyekiti wa kamati hiyo Racheal Nyamai, na kuapa kupitisha mswada wa kutokuwa na imani naye.

huku haya yakijiri mkaguzi wa mahesabu katika  wizara ya afya bernard muchere alifika tena mbele ya kamati ya seneti kuhusu afya na kufichua kuwa nu ukaguzi tu wa wapeleleza utakaofichua ni pesa ngapi haswa zilizopotea

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories