Kizungumkuti cha NASA

Vinara wa muungano wa Nasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia  Mudavadi wanatarajiwa kuanza mkutano wao wa kipekee hapo kesho katika kaunti ya Mombasa, wakitarajiwa kujadili na kukubaliana ni nani kati yao atakayepeperusha bendera ya nasa katika kinyanganyiro cha urais.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories