KNEC yafutilia mbali matokeo ya KCSE ya wanafunzi 1205

Wanafunzi zaidi ya elfu moja mia mbili leo hii walijipata taabani baada ya bodi ya mitihani ya KNEC kufutilia mbali matokeo yao ya mtihani wa KCSE ya mwaka 2017. Shule 9 kati ya10 kumi zilizobainika kujihusisha na visa hivyo vilituhumiwa kwa makosa kadhaa kulingana na vipengee vya sheria ya KNEC. Huku hayo yakijiri, tume inayojihusisha na ugawaji nafasi katika vyuo vikuu leo hii imesema kuwa wanafunzi waliopata alama ya c+, watafuzu ufadhili wa serikali katika vyuo

Tags:

KNEC George Magogha KCSE 2017

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories