Kongamano la kimataifa kuhusu mazingira kuanza Jumatatu
Published on: December 03, 2017 08:28 (EAT)
Kenya inapojitayarisha kuwa mwenyeji wa kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mazingira hapo kesho hapa jijini Nairobi, baadhi ya Wakenya tayari wamebuni njia za kuhakikisha uwepo wa maadili katika kukumbatia usafi wa mazingira.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment