Kongamano la sekta ya afya lafanyika Ikulu

Washikadau katika sekta ya afya hii leo walijipata taabani walipotakiwa kuelezea hatua waliopiga katika sekta hiyo ambayo ina jukumu la kuwapa Wakenya huduma bora za afya. Lakini washikadau hao walipata fursa ya kujitetea hata hivyo na kusema kwamba mipango yao imo sambamba na ahadi yao ya kuwasaidia wagonjwa nchini hasa wale wanaougua saratani.

Tags:

saratani sekta ya afya

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories