Kongamano la ugatuzi

Rais Uhuru Kenyatta amewataka magavana kufanya juu chini kuhakikisha kuwa ugatuzi katika kaunti imefauli. Rais alizungumza katika hafla ya kila mwaka ya kujadili ugatuzi iliyoandaliwa na baraza la magavana mjini naivasha.

Aidha rais Kenyatta amesema kuwa changamoto ambazo zipo kwa sasa ni za muda mdogo na kuwa sharti wakenya wajivunie kuwepo kwa ugatuzi nchini. Aidha magavana wamelalamikia pesa ambazo hucheleweshwa na serikali kuu hivyo kutatiza shughuli katika kaunti.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories