Korti kwa mara nyingine imeongeza muda wa kusajili wapigakura

Mahakama kuu imeongeza muda wa usajili wa wapiga kura kwa siku tatu zaidi. Jaji enoch chacha  mwita amesema kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mkenya kupiga kura na kuiagiza iebc kufanikisha shughuli hiyo hadi jumapili jioni.

Mwanaharakati okiya omtatah alikuwa ameitaka mahakama kuiagiza IEBC kuendelea na shughuli hiyo hadi mwezi mei ili kuwapa wale ambao hawajapata vitambulisho muda wa kutosha.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories