KRA yachunguza Joho

Mamlaka ya ushuru humu nchini kra, imeanza uchunguzi kwa akaunti ya benki inayomilikiwa na gavana wa mombasa ali hassan joho. Hata hivyo hatua hii inaonekana  kama mipango ya serikali kuu ya kumwandama joho kutokana na misimamo yake mikali aliyonayo. Mwanahabari wetu Denis Otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories