KRA yachunguza Joho
Published on: March 19, 2017 07:48 (EAT)
Mamlaka ya ushuru humu nchini kra, imeanza uchunguzi kwa akaunti ya benki inayomilikiwa na gavana wa mombasa ali hassan joho. Hata hivyo hatua hii inaonekana kama mipango ya serikali kuu ya kumwandama joho kutokana na misimamo yake mikali aliyonayo. Mwanahabari wetu Denis Otieno ana maelezo zaidi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment