KRA yapoteza shilingi bilioni 4

Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujihusisha na wizi kupitia mtandao uliopelekea kupotea kwa shilingi bilioni nne kutoka kwa mamlaka ya ushuru humu nchini, KRA. Mshukiwa hata hivyo alikana madai hayo. Mwanahabari wetu denis otieno atufungulia jamvi la nipashe kwa leo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories