Kujiuzulu kwa Akombe hakuathiri uchaguzi


Tume ya uchaguzi nchini inaonekana kupitia kipindi kigumu siku saba tu kabla ya marudio ya uchaguzi wa urais kufanyika. Kujiuzulu kwa kamishna Roseline Akombe na masharti yaliyotolewa leo na mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati, ni ishara tosha kuwa hali si hali ndani ya tume hiyo. Je taifa linaelekea wapi?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Salim Swaleh
More by this author