Kuku Anayeibua Mjadala Mtaani.

Je mtazamaji, utafanyaje ukiona kuku wako wa kutaga mayai akigeuka na kuwa jogoo? Ndio muujiza ulioshuhudiwa na familia moja kutoka Kaunti Ya Kisumu baada ya kuku huyo ama ukipenda mwera  kugeuka na kuwa na dalili za jogoo. Tom Wanjala anatusimulia kuku kioja hicho kwani tunaarifiwa kwamba kuku huyu pia anawika kama jogoo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories