Kulikoni NASA?

 

Hali yaonekana si shwari ndani ya NASA ,ni baada ya Kalonzo kutoa maneno makali leo ,Kalonzo asema hatoendelea kuwa mpole kwenye NASA ,huku akisisitiza kiti anachotaka ni cha Rais ,Asema hatoki NASA lakini wengi wana wasiwasi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories