Kuporomoka kwa daraja kwazua mahangaiko Kainuk

Kukatika kwa daraja la Kainuk katika kaunti ya Turkana kutokana na mvua kubwa inayozidi kunyesha, kulisababisha wasafiri na
madereva kuhangaika kwa siku nne huku wasafiri waliokuwa wakihangaika wakilazimika kulipa pesa nyingi tu kununua bidhaa. na kama anavyoarifu Mwanahabari wetu cheboit Emmanuel, wafanyibiashara wamepata hasara kubwa kutokana na kusitishwa kwa uchukuzi.

Tags:

Kainuk bridge kainuk bridge collapses

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories