Kuria Atuhumiwa Kwa Uchochezi Mitandaoni

Mbunge wa Gatundu Moses Kuria amekatazwa kutoa maoni  yoyote kupitia kwa mitandao ya kijamii kuhusiana na mauaji ya  watu 28 huko Mandera.Akiwa mbele ya hakimu  mkuu Enock Cherono Kuria alipinga madai ya kutoa matamshi ya chuki baada ya mkasa wa vilipuzi wa Gikomba.Huku haya yakijiri,waziri wa habari na mawasiliano Dkt. Fred Matiang’i ametoa onyo kwa  wenye mazoea ya kutoa matamshi ya chuki.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories