Kutana na fundi cherahani tajika mjini Eldoret mwenye shahada ya uzamili

Imenenwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha, na kila mzazi hujitahidi kumsomesha mwanawe ili ajitegemee siku za usoni. Imani kuu huwa jinsi mtu anaongeza kiwango cha elimu ndivyo anavyopanua nafasi za kupata kazi nzuri. Lakini inakuwaje mtu akiwa na elimu ya juu lakini akajihusisha na kazi inayoonekana kuwa ya watu ambao hawajasoma sana? Dan Odhiambo mkazi wa mji wa Eldoret kwani licha ya kusoma hadi akapata shahada ya uzamili yaani masters,yeye ameamua kuwa fundi wa kushona nguo kwa kutumia cherahani.

Tags:

eldoret taylor

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories