LANCET yakanusha madai ya Raila kuhusu chanjo ya Pepo Punda


Shirika la Lancet limekanusha kauli ya kinara wa mrengo wa upinzani Raila Odinga kuhusiana na chanjo ya pepo punda iliyotolewa miaka miwili iliyopita. Chanjo hiyo ilisemekana kuwa na homoni inayozuia wanawake kupata uja-uzito. Nani msema kweli?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author